Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Anga la Taiwan lipo chini ya US 3week before,mchina kaja kushtuka juzi tu [emoji1787]

Watu wapo makini na mambo yao
Hilo sio la kustua sana,
Cha muhimu mchina Ni awe serious TU.

Maana hata Ukraine ilikua chini ya USA tangu 2014, ila Bado Putin akapiga pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaichukia tu marekani aisee lakini ile nchi kijeshii ni habari nyinginee
US imeji-establish over 200 years, huwa nashangaa sana mtu anayeamini kuwa mchina ambaye hadi miaka ya late 60s tulikuwa level moja ya maendeleo na huyu Russia ambaye juzi hapa 90s alikuwa kasambazwa vibaya kuwa wanaweza kumtunishia US misuli.
 
Kwanza ilitakiwa awe ameshaingia Taiwan toka jana anafanya doria ila yeye kaishia fujin[emoji23]
Hamna,
Alikuepo Taiwan,
Mpk ndege inashuka, mchina Bado Alikua anapiga Doria anga la taiwan.

Nmeshangaa Sana kaiachaje itue ardhini.
Au tuSeme alkua Ni anazurura TU maana alitakiwa apige hata gruneti moja, tumuone Yuko serious na misimamo yake [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa China🇨🇳 ana akili na busara sana
Mm nimeridhika sana na maamuzi ya CHINA kutulia(Kama ataendelea kutulia).
Naogopa sana vita vya CHINA na USA, vitatuathiri sana huku. Pale Kariakoo sijui itakuaje.
 
US imeji-establish over 200 years, huwa nashangaa sana mtu anayeamini kuwa mchina ambaye hadi miaka ya late 60s tulikuwa level moja ya maendeleo na huyu Russia ambaye juzi hapa 90s alikuwa kasambazwa vibaya kuwa wanaweza kumtunishia US misuli.
Watu wa Rainbow mmeanza mambo yenu tena.
 
Hakuzipiga kabla ya mama kutua Taiwan?
Mkuu naamini mama ataondoka vizuri tu ila taiwan itakaa kwenye matatizo yanaweza yakawa sio vita ya kumwaga damu ila vita ya kiusalama na uchumi
 
US imeji-establish over 200 years, huwa nashangaa sana mtu anayeamini kuwa mchina ambaye hadi miaka ya late 60s tulikuwa level moja ya maendeleo na huyu Russia ambaye juzi hapa 90s alikuwa kasambazwa vibaya kuwa wanaweza kumtunishia US misuli.
US wali dictate mifumo mingi sana duniani. Democracy, ubepari kwenye biashara na kadhalika. Huyu sio wa jana wala wa leo, huyu ni kesho kutwa kabisa mambo yake
 
Hamna,
Alikuepo Taiwan,
Mpk ndege inashuka, mchina Bado Alikua anapuga Doria.

Sema Ni anazurura TU maana alitakiwa apige hata gruneti moja, tumuone Yuko serious[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina amekua hana tofauti na NATO,wkt Russia inaivamia Ukraine jamaa wa NATO walikua wanafanya mazoezi,mpk leo Russia anampiga Ukraine bado tu NATO wanafanya mazoezi.
 
Back
Top Bottom