Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Mm nimeridhika sana na maamuzi ya CHINA kutulia(Kama ataendelea kutulia).
Naogopa sana vita vya CHINA na USA, vitatuathiri sana huku. Pale Kariakoo sijui itakuaje.
Kiongozi ndiyo unatakiwa kuwa hivyo na si kufuata mihemko na ushabiki..
Sidhani kama kuna mwananchi hata wa China au Taiwan anataka vita kwa sababu hakuna atakaye faidika
 
Watu wa Rainbow mmeanza mambo yenu tena.
Mkuu me sio pro US, ila ukweli ni kuwa hawa jamaa wametuacha mbali sana.

Mtu ambaye ana mikono kwenye kila system ya hii dunia na bado hatetereki si wa kumchukulia poa. Ukiongelea UN na agencies zake zote, IMF, World bank, maswala ya world security nk kote huko unamzungumzia US.
 
Kiongozi ndiyo unatakiwa kuwa hivyo na si kufuata mihemko na ushabiki..
Sidhani kama kuna mwananchi hata wa China au Taiwan anataka vita kwa sababu hakuna atakaye faidika
Yaani wakipigana mwaka huu, huenda na mwaka kesho wote tungeathirika katika biashara na ingekuwa mbaya sababu ndo kwanza tunaanza kuisahau hasara ya covid.
 
Mm nimeridhika sana na maamuzi ya CHINA kutulia(Kama ataendelea kutulia).
Naogopa sana vita vya CHINA na USA, vitatuathiri sana huku. Pale Kariakoo sijui itakuaje.
Mmarekani anataka aijue nguvu halisi ya mchina,kama alivyo mgundua mrusi kua hana lolote,na lengo ni kuwadhoofisha kiuchumi ili yeye aendelee kua super power 💥

Haya mambo ni planned and organized kitambo 💥💥💥
 
Kwa lile Biti la China toka Ijumaa, na ukimya wa Biden nilijua hakika Nancy haendi.
Hadi jana usiku ndo niliamini Nancy anaenda.

Ila US mbabe sana, na inaonesha ashampima uwezo China kajua hawezi kitu
 
Acha wakung'utane then tupate The world superpower mpya
 
Mmarekani anataka aijue nguvu halisi ya mchina,kama alivyo mgundua mrusi kua hana lolote,na lengo ni kuwadhoofisha kiuchumi ili yeye aendelee kua super power 💥

Haya mambo ni planned and organized kitambo 💥💥💥
Motivational speakers bana,mna vimaneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…