Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Mkuu ulikula kweli mchana? Mbona ulikuwa na hasira kiasi hiki?
 
Keshatua na mchina kaufyata.

USA ni super power jama, sijui wanomzodoa wana maana gani. USA kwenye ishu inayowagusa moja kwa moja huonesha ubabe wake.

China tatizo lao janja janja nyingi sana, ni super power wa uswahilini.

Ukiskia akina Mandonga basi ni hao wachina.

Mchina alimwambia USA kadandia mtumbwi wa vibwengo ona sasa hivi kaufyata.
 
Motivational speakers bana,mna vimaneno.
Motivational speaker ni wale waliokua wanapiga mikwara leo wameingia mitini 🀣🀣🀣

Mchina ni motivational speaker πŸ”Š
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni mtukazi tu nae 😝
 
Afu ana hakikisha majiran au ndugu ndio mpasuane vizuri..[emoji16]
 
duh na akili zako zoooote uliamini china wana ubavu wa kumzuia Nancy? pole yako ndo ujue nini maana ya US kuitwa super power vitendo vinaongea na sio maneno
bado hujachelewa anza sasa kuwadharau wachina a.ka china mandonga
Huyo bibi yako hawezi leta vita watu wakafa kwa ajili ya mtu ambae possibility ya kuishi miaka 5 hana kwa 30%

Busara ..najua wapumbavu wengi wanataka china ifanye jambo ..niko upande wa china pia sioni umuhimu wa vita ..kujishusha maisha yakaendelea sio mbaya ..ila huyo US mwambie akamege ardhi china ndo utajua
 
Mchina ni super power tu kwa nchi kama zetu
 
Hata mimi ndilo swali nalojiuliza, kama hayana kazi kwanini wayatengeneze? Ni danganya toto kabisa.
US mchokonozi sana ila tunakoelekea ipo siku watatukaanga kwa vita ya nuclear
 

Tim [emoji304] huwa mnachekesha sana.
Kama ulikua hujui west ndo wameingia kwenye Trap kule Ukraine wameanza kupotea taratibu fuatilia wakati mgogoro unaanz na sasa utaona hata utumaji wa silaha unapungua kadri siku zinavyozid kwenda kujitoa mazima itabaki kuwa AIBU kwao.

Russia sio China asee
 
Huyo bibi angeshambuliwa kisiri ..ma sniper waliotayari kufa ..wamlenge shaba ya tako na mbususu na kichwa akufe kisirisiri bila madege ya kivita

Speaking as pro chawa
 
Story za vijiweni hizo 😝😝

Mkubwa mpishe njia apite

Acha kuvimbisha kichwa bwana mdogo utaua familia na njaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Mkishindwa mnaanza kutukana watu[emoji16]

Akili zilikosea pa kwenda zikaenda makalioni[emoji3]

Hivi ndo wewe bobby barbosa shoga wa pale sinza palestina?? Kama sio wewe badilisha ID hiyo asee. Maana uyo jamaa ni maarufu sana pale sinza. Kama unafikir mimi nakuzingua nenda kaulizie utarudi kunishukuru, ila kama ni wewe hoyahoya[emoji23][emoji23]
 
Ndege vita za taiwan zashambulia kuelekea upande wa China kama Onyo
Onyo la Nini Sasa wafanye action, yaani mtu mliyekuwa hamtaki aingie Taiwan ameshaingia then still wanatoa onyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…