Mrusi kashatafutiwa furushi lake Ukraine anateseka nalo.
Mchina nae anatafutiwa la kwake ateseke nalo asiwe na muda wa kujijenga
Vita vya siku hizi unapigwa kinyume nyume [emoji23]
Marekani anataka hawa jamaa wawili china na Russia wakose muda wa kujijenga kiuchumi wawe bize kupambana na vinchi vidogo alafu yeye anaingia kwa nyuma kuvisupport kiteknologia na kijeshi,mpk waje kushtuka washakua nchi za kawaida wamefulia [emoji38][emoji38]
Tunaposimuliwa na mababu zetu waliotangulia maana ya super power ndio hii sasa leo tunashuhudia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Huezi kua superpower ukakaa kizembe,marekani anaendesha operation kibao duniani,jana kiongozi wa alqaeda wamemtumgua huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tuendelee kulima sana [emoji1787] [emoji38] Philosophy ya hapa kazi tu,tungeteseka ila baadae tungekua na sisi ni ka super power EastAfrica [emoji23][emoji1787]
Watu walihenya wakajipanga kitambo [emoji95]