Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Nyani mzee huyo kakwepa mishale mingi 🤓🤓
 
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Huyo ulomuweka avatar ni baba yako kwani

Ni lini utakuwa na akili
 
Sema china akikaa kimya pia itaashiria ana busara, vita vinahitaji mipango
Kama kukaa kimya ni busara, ni afadhali wasingeanza kwa kupiga makelele na vitisho. Mambo ya watu wa Taiwan kumwalika Pelosi yanawahusu nini wachina kama siyo tabia ya kikomunist ya kutaka kumiliki watu wote. Mwaka 2001 Rais wa china na ujumbe wake ulikwenda kumtembelea Bill Gates huko nyumbani kwake Seattle, mbona serikali ya Marekani haikulazimisha kuwa ujumbe huo lazima uende Washington DC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…