Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

china wadili na kutengeneza tecno na infinix tu kwenye masuala ya kivita wawachie warusi
Je unajua technolojia yoyote au product yoyote iliyovumbuliwa na mchina kama siyo watu wa kukopi tu? Hakuna kitu katika dunia ya kisasa ambayo asili yake ni China! Alibaba ni kopi ya Ebay, Beidu ni kopi ya Google, Tecno na smartphones zote ni kopi ya iPhone, .......
 
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
We unaye fuatilia mambo ya nchi yako ni jambo gani la msingi ulilo lifanya. Kuna watu mnajikutaga sijui kina nani. Yaani unachukia mtu kufuatilia jambo analolipenda kwasababu wewe unaona sio sawa .
 
Naona umechafukwa, ulitamani akiwashe

Hii itamtia hasira China, atawekeza sana kijeshi.

Ipo siku atafanya surprise attack
Kama walikuwa hawaja jiandaa walipaswa kukaa kimya tu na kuto toa tamko lolote , Dunia isingekuwa na Cha kuzungumza,

Sasa ona Sasa kinacho tokea wataonekana ni wajinga tu hawana nguvu yoyote Ile ya kijeshi wameshindwa hata ni Iran

Iran walipo uliwa general wao Qasseem Tuliona walikiwasha Kule Iraq na USA wakaishia kukaa kimya tu
 
Maana walipeleka anti aircrafts,
walipeleka APCs,
walipeleka Hypersonic Missile launchers, walipeleka amphibius tanks
Walipeleka meli vita
Walifanya live drills

Fujian ikajazwa silaha

Mwisho wameishia peleka ndege zao ADIZ tu bila kurusha hata risasi
 
Tumeni Memes basi tucheke sie
Anza na hio
20220802_210655.jpg
 
Leo ndio leo msema kesho mchawi,

Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao.

Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri kwa kufuatilia safari kwa rada ya flightrader. Bofya link hapo chini

Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24View attachment 2312006
Ndio ndege iliyofuatiliwa zaidi kuliko zote kwa takwimu za flight radar
 
Back
Top Bottom