Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Ww3 ya nioko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww3 ya nioko
Kabisa mkuu unakuta kiongoz wao anaongea kwa vitisho na ukali mpaka mishipa ya shingo imesimamaPropaganda za kuwapa matumaini ya nuwongo raia wao na kudanganya dunia na ndiyo silaha yao kubwa ili wabake madarakani. Hii ni tabia ya kawaida kwa nchi ambazo hazibadili viongozi, au uongozi haushindaniniwi.
Je unajua technolojia yoyote au product yoyote iliyovumbuliwa na mchina kama siyo watu wa kukopi tu? Hakuna kitu katika dunia ya kisasa ambayo asili yake ni China! Alibaba ni kopi ya Ebay, Beidu ni kopi ya Google, Tecno na smartphones zote ni kopi ya iPhone, .......china wadili na kutengeneza tecno na infinix tu kwenye masuala ya kivita wawachie warusi
Mkuu kama wewe ni Baba/Mama na unawatoto,wakiona comment hii wanaweza kusikitika sana........Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
We unaye fuatilia mambo ya nchi yako ni jambo gani la msingi ulilo lifanya. Kuna watu mnajikutaga sijui kina nani. Yaani unachukia mtu kufuatilia jambo analolipenda kwasababu wewe unaona sio sawa .Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Kama walikuwa hawaja jiandaa walipaswa kukaa kimya tu na kuto toa tamko lolote , Dunia isingekuwa na Cha kuzungumza,Naona umechafukwa, ulitamani akiwashe
Hii itamtia hasira China, atawekeza sana kijeshi.
Ipo siku atafanya surprise attack
Haha..sasa Russia anaingiaje hapa jamani??China na Russia wanaufyata.
Niujinga sana magharama kibao wametumia action 0 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]China bora angetulia kimya kuliko kuleta mbwembwe za kusafirisha vifaa alaf hamna kitu amefanyaView attachment 2312299
Maana walipeleka anti aircrafts,Kama walikuwa hawaja jiandaa walipaswa kukaa kimya tu na kuto toa tamko lolote , Dunia isingekuwa na Cha kuzungumza,
Sasa ona Sasa kinacho tokea wataonekana ni wajinga tu hawana nguvu yoyote Ile ya kijeshi wameshindwa hata ni Iran
Iran walipo uliwa general wao Qasseem Tuliona walikiwasha Kule Iraq na USA wakaishia kukaa kimya tu
Anza na hioTumeni Memes basi tucheke sie
Mnaongea utadhan mambo ni mepesi hivyo, mnataka achukue hatua gan?Sasa hawa wachina, mbona wanatuangusha sasa, hatuoni action, ile one Chinese principle imeishia wapi, wasiotakiwa kucheza na moto mbona wanaupikia ugali kabisa.
Hii china isipochukua hatua ni Ufala kabisa.
Ye USA apigane tu kesho China akiwa juu kiuchumi asitafute mchawiBasi ndio wataendelea kupapaswa makalio Kila kukicha [emoji1787]
Ndio ndege iliyofuatiliwa zaidi kuliko zote kwa takwimu za flight radarLeo ndio leo msema kesho mchawi,
Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao.
Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri kwa kufuatilia safari kwa rada ya flightrader. Bofya link hapo chini
Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24View attachment 2312006![]()
Live Flight Tracker - Real-Time Flight Tracker Map | Flightradar24
View flight from Kuala Lumpur to Taipei on Flightradar24www.flightradar24.com