Link haifungukiBaraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.
Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/mkiti John Heche.
Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.
Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.
Mapendekezo ya Vikwazo.
1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Inaendelea......
Wamaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni
File lipo kwenye PDF hadi uwe na PDF Reader, nitalipakuwa nitalileta hapa kama pdf lakini mapendekezo ni ya moto.Link haifunguki
Iwe kwa nini wanawafanyia hiviBaraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.
Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.
Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.
Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.
Mapendekezo ya Vikwazo.
1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Inaendelea......
Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.
Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com
View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825
Leo wanashangilia kupunguziwa vikwazo wakati walikuwa wanasema hawaogopi vikwazo wanajitegemea.Umewasikiliza diaspora, viongozi wa tanzania wana akili ndogo Sana za kwenda na Nyakati. Sasa wanapiga propaganda za mswada kupunguza baadhi ya vipengere na wanashangilia.
Kimewaka tena?Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.
Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.
Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.
Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.
Mapendekezo ya Vikwazo.
1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Inaendelea......
Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.
Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com
View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825
KiwasheKimewaka tena?
Chawa wamechanganyikiwa, hakuna aliyewapunguzia vikwazo, wameamua tu kujitekenya na kucheka wenyewe.Leo wanashangilia kupunguziwa vikwazo wakati walikuwa wanasema hawaogopi vikwazo wanajitegemea.
Hii ni kweli?Kisha wanatuma viongozi wao kina Nyalandu kwenda kuwadanganya wazungu, wanadhani wazungu ni wajinga kama wao
Braza unajua unaharibu ubora wa jukwaa hili? Kwani huwezi kutoa maoni yako bila kutukana wala kutweza heshima ya mtu?Like shoqa linajiita abdul nani sijui likikuja huku asubuhi asubuhi likikata mauno kuwa mabasher wake wamelegezewa kamba, kumbe kimombo kilimchoropoka, hakuelewa lolote, liko sawa tu na Lucas Mwashambwa hayajui lolote, kazi kutingisha Makebo tu
Ni kweliHii ni kweli?
Chura kiziwi atazibuliwa masikio tu very soon.Chura kiziwi ni mshenzi sana.
Kiongozi aliyejipachika Urais, Mzanzibarwa huko kizimkazi ambaye alikataa kuishi kwa mumewe Jambiani, aliwaambia Wamarekani WHO ARE YOU?Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.