Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi


MUSWAADA UNAZIDI KUSOGEZWA KARIBU NA DAWATI LA RAIS DONALD TRUMP KUWASAINIWA KUWA SHERIA

Mambo yanazidi kuiva, tracker / mnyororo wa maamuzi dhidi ya watawala wa serikali iliyojiweka kwa nguvu Ikulu, bungeni, madiwani kwa njia ya kuua raia
​

Sen. Shaheen, Jeanne [D-NH] (Introduced 05/19/2026)
Senate - Foreign Relations
06/17/26 10:00AM
Senate - 05/19/2026 Read twice and referred to the Committee on Foreign Relations. (All Actions)
Tracker: Tip​
This bill has the status Introduced
Here are the steps for Status of Legislation:
  1. ​
    Introduced​

    ​
  2. Passed Senate​

    ​
  3. Passed House​

    ​
  4. To President​

    ​
  5. Became Law​

    ​


Fuatilia up dates zote na shajara za miadi ya vikao vya mwisho kughulika na utawala wa mwovu na wateuliwa wake wote

source : https://www.congress.gov/bill/119th-congress/senate-bill/4577/all-info

 
Nileteeni muswada, tayari nimesha pewa data zote nilikuwa nasubiri tu mkondo wa taratibu ya ki bunge zifanyike niletewe mezani kama kawaida ya ufanyaji kazi zetu

PICHA MFANO MAKTABA : RAIS DONALD TRUMP AKISAINI SIKU ZA NYUMA
 

Nasikia wabunge wa bunge la Dodoma walimshangilia sana balozi wa Iran pale Dodoma, na pia kusifia sana ziara ya Samia kule St. Petersburg ... kwa hiyo sera ya kutofungamana na upande wowote ya Samia haitambuliwi na bunge la Dodoma ingawa Mahmoud Kombo balozi namba mbili akija Marekani anasema sera ya balozi namba moja Samia ni kuwa hafungamani na upande wowote ...

 
 
Huyu Nyalandu; ni wakati sahihi wa kumwangazia mwanga kuhusu uhusika wake katika kuendelea maovu ili mradi tu ajinufaishe
Kwa hiyo huyu ndiye msaidizi mkuu wa Kabuti Kalamakande?
Nyalandu anaaminika na watawala kwasababu anaonekana ana connection na wazungu, naamini wazo la kunteua mshauri lilitoka kwa Kikwete.
 
Nyalandu anaaminika na watawala kwasababu anaonekana ana connection na wazungu, naamini wazo la kunteua mshauri lilitoka kwa Kikwete.
Wale 'lobbyist' waliopewa kazi imewashinda, Nyarandu ataiweza?
Mbali ya kusoma huko kidigrii chake hana ''connection' nyingine yoyote ya maana sana zaidi ya ile aliyowahi kuitumia wakati huo wa Kikwete.

Huyu ni sampuli halisi ya 'opportunists' ambao wamejazana huko CCM.
 
Ni opportunist tu, ndio maana hata wakipewa uwaziri lazima waondoke na kashfa za upigaji... kundi la kina Kigwa
 
Tafsiri yake hii hapa:-

Uchambuzi: Hii Ina Maana Gani kwa Tanzania?

Habari Njema kwa Vyombo vya Ulinzi

1.(Misaada ya Kiusalama Imerudishwa): Kwenye muswada mpya, wamefuta (wameondoa) kipengele cha kuzuia misaada ya kiusalama (Security Assistance). Hii ina maana kwamba ushirikiano wa kijeshi, mafunzo ya kigaidi, na usalama wa kikanda kati ya Marekani na vyombo vya ulinzi vya Tanzania hautaguswa au kuwekewa vikwazo. Marekani inaona usalama wa ukanda wa Afrika Mashariki ni muhimu zaidi kuliko siasa.

2.Vikwazo vya Kiuchumi na Biashara Vimebaki palepale:

Vikwazo bado vinalenga taasisi za kifedha na kibiashara za Marekani (DFC, EXIM Bank, na USTDA). Mashirika haya ndiyo yanayofadhili miradi mikubwa ya miundombinu, nishati, na biashara za sekta binafsi. Hivyo basi, uwekezaji wa kibiashara bado upo hatarini kupungua kama muswada huu utapita kuwa sheria kamili.

Huu ni uthibitisho kwamba diplomasia ya nyuma ya pazia inaendelea, na Marekani imeanza kulegeza baadhi ya vifungu vikali (kama vile vya usalama) ili kulinda maslahi yake ya kiulinzi barani Afrika.

Msimdharau Kabudi, Kombo na Nyalandu
 
Wenzetu kwenye mambo ya Sheria hawana masihara, jamaa akisaini Tu Utekelezaji ni 100%
 
Nyalandu anaaminika na watawala kwasababu anaonekana ana connection na wazungu, naamini wazo la kunteua mshauri lilitoka kwa Kikwete.


Nyalandu hana capacity ya kutatua matatizo ya kidplomasia yaliyopo kwa sasa. Anazidi kujiondolea uaminifu aliokuwa nao kwa wazungu. Nilimsikiliza skynews, nikaona ni hopeless kabisa.
 
Mswada haujawahi badilika toka day 1, mswaada ni ule ule sema kuna team muaji ndo wanajitahidi kupotosha, waacha wajidanganye, hao wameshaliwa already.
 
Nyalandu kafanyaje?
Analeta siasa kwenye diplomasia, anaongea upuuzi mtupu kwenye vyombo vya kimataifa. Sasa naomba tu chura kiziwi na genge lake kabla ya kusoma mswada ambao unafadhiliwa na Ted Cruz na Jeanne Shaheen wasome historia zao. Hao ni ranking members. Pia wana career history inayoeleweka sana.

Kitu kimoja marekani hawezi kukiweka kwenye muswada ni swala la usalama, lazima ataendelea kushirikiana na Tanzania kwenye swala hilo hili aendelee kuchukua data za jeshi la tanzania na nchi kwa ujumla na nchi jirani. Ndo maana hawahitaji ushahidi toka kwetu bali wanao. Wanaijua sana Tanzania ni kwa sababu tunashirikiana nao kijeshi. Ata wakitaka leo kukamata kale kamama ni muda mfupi tu. Kosa la kutoshirikiana kijeshi marekani hawezi lifanya. Pia kushirikiana na marekani kijeshi ni kwa faida ya raia.

Kulingana na lobbying zinazofanyika za watanzania mbalimbali, huu mswada utapita, kwa sababu karibu kila jimbo kuna watanzania wanao ishi humo na wao ni wapiga kura na wana access na hao jamaa. Kila mtu kwa uwezo wake ana jaribu influence respectively. As soon as ukipita sehemu zote, mzee wa mawigi atausahini kwa mikogo kama yote. Overall, hii kitu hakuna wa kuzuia. Ukipita tu utasikia, UK nayo inatema cheche na EU nayo inaongeza pilipili kali.
 

Kuzuia misaada ya kisusalama haina maana yoyote, maana ni kwa faida ya raia, waondoe tu. Sisi tunataka wale wapuuzi waliohusika wawe targeted, na muswada bado unao. eg.TPDF waliohusika, Polisi Tanzania waliohusika, CCM senior leaders ect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…