Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Haya sasa, hawa jamaa wawili niliokua nao sebuleni tunaangalia wote hili sakata ngoja niwaulize ni nani. Ila wanaongea sana!
 
Pengine ndio maana alihamishiwa porini huko. Yawezekana pia alilipwa kihalali. Sadaka ya ondoleo la dhambi

Wanigambila stupid mno,infact actually mazima kwakweli ututake radhi wahaya kwa kupaita Bukoba porini.
Vinginevyo ntamuagiza mtoto wangu Kokuberwa aliyegraduate masters ya sheria nchini Urusi akuburuze mahakamani.
 
La yule mama aliyekuwa anamwambia mdee asimchafue kwamba hajachukua fedha mbona katajwa kwenye ripoti MAMA TIBA

Yaan sahiz anatafta la kusema
Anaweza sema ni mchango WA harusi
 

Attachments

  • 1417018526244.jpg
    56.8 KB · Views: 673
Watu wa Lumumba leteni version mpya

matutusa wa lumumba wakiongozwa na wafu wao MSALANI & FaizaFoxy WAMEPIGWA GANZI au WAMEGANZISHWA! huwezi kuwaona kwenye uzi huu. wamejifungia lumumba pamoja na vibaraka wao wanauguliwa kipigo kizito walichopigwa leo kutoka kwa kamanda Zitto
 
Last edited by a moderator:
watajwa wote walitakiwa Kuwa wamepigwa pingu muda huu
 
Kikwete alishapoteza uhalali muda mrefu na wala si kwa suala hili tu la escrow.
 
Hivi Mdakuzi unafuatilia hili balaa la leo?

Nilikuwa nasikiliza online. Viongozi wanapanga kuiba pesa za umma kwa urahisi sana, hawaogopi kitu. Wanatudharau hawa, lakini tufanye Kitu ili watuheshimu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.

Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.
Walitakiwa wayajibu kwa CAG (na PCCB). Au wataka watuhumiwa nao waandike report kama ya CAG kujibu hoja? Muda wao wa kujitetea ulishapita. Maandishi yanawaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…