barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
lakini wengine walichukua pesa in good faith ..
1.6 bilion!! In good faith???? My asss!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini wengine walichukua pesa in good faith ..
Pengine ndio maana alihamishiwa porini huko. Yawezekana pia alilipwa kihalali. Sadaka ya ondoleo la dhambi
La yule mama aliyekuwa anamwambia mdee asimchafue kwamba hajachukua fedha mbona katajwa kwenye ripoti MAMA TIBA
Walitakiwa wayajibu kwa CAG (na PCCB). Au wataka watuhumiwa nao waandike report kama ya CAG kujibu hoja? Muda wao wa kujitetea ulishapita. Maandishi yanawaua.Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.
Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.
leo kuna watu hawotopata usingizi,sipati picha Mzee wa miamba
Hakuna evidence kama hawa waliopewa walijua ni za escrow
nini kirefu cha ESCROW?