Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Haya sasa, hawa jamaa wawili niliokua nao sebuleni tunaangalia wote hili sakata ngoja niwaulize ni nani. Ila wanaongea sana!
 
Pengine ndio maana alihamishiwa porini huko. Yawezekana pia alilipwa kihalali. Sadaka ya ondoleo la dhambi

Wanigambila stupid mno,infact actually mazima kwakweli ututake radhi wahaya kwa kupaita Bukoba porini.
Vinginevyo ntamuagiza mtoto wangu Kokuberwa aliyegraduate masters ya sheria nchini Urusi akuburuze mahakamani.
 
La yule mama aliyekuwa anamwambia mdee asimchafue kwamba hajachukua fedha mbona katajwa kwenye ripoti MAMA TIBA

Yaan sahiz anatafta la kusema
Anaweza sema ni mchango WA harusi
 

Attachments

  • 1417018526244.jpg
    1417018526244.jpg
    56.8 KB · Views: 673
watajwa wote walitakiwa Kuwa wamepigwa pingu muda huu
 
Kikwete alishapoteza uhalali muda mrefu na wala si kwa suala hili tu la escrow.
 
Movie haijaisha mpaka tusikie upande wa pili, hoja za Zitto zimekaa kishabiki shabiki, mapendekezo pia yamekaa kishabiki, mpaka neno dalali alilotumia Mhongo kwa Mengi limerudiwa kuelekezwa kwa Mhongo.

Yote yanajibika tena kiufasaha kabisa.
Walitakiwa wayajibu kwa CAG (na PCCB). Au wataka watuhumiwa nao waandike report kama ya CAG kujibu hoja? Muda wao wa kujitetea ulishapita. Maandishi yanawaua.
 
Back
Top Bottom