Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Kumekucha jamani, tamthiliya ya eskroo Ni episodi nyingine Leo, lakini Kuna jambo tofauti nafikria, sawa Zito na Deo wanastahili kupongezwa kwa niaba ya kamati ya PAC!, Lakini mbona sifa zinazidi kwao Tu wakati Wao Ni waleta chakula(kitoweo) mezani. Mbona muwindaji mahiri kwenye pori hatari(Kafurira a.k.a kaka WA taifa) tunamsahau!?.
Jamani kakoswakoswa na Na mengi huyu.
Jamani katukanwa Sana huyu(tumbili).
Jamani taifa zima lilikuwa linaimba katiba mpya, lkn yeye aliamua kufikria nje ya box.
Jamani kawpiga knock out watu wenye mamlaka ya kidola kwenye lips í-½í±„ zao,
Sasa linapokuja suala la sifa mbona tunaishia kuwasifu wahudumu wa mezani kwa utumishi uliotukuka lakini muwindaji/mpishi tunamchukulia poa!?.
Jamani mwenzenu hili linanikereketa.
Tutende haki kwa kaka WA Taifa. Nawasilisha.
Viongozi wa dini kama hawa nafikiri hata sadaka zetu haziponi.Ikibidi wajiuzuru.Kazi imewashinda.
Ndio maana kuna mgawanyo wa kazi. Nadhani nafasi yake ipo palepale kama mtu aliyeibua kashfa hii ya Escrow.
Mingoi, mpaka sasa naiona ni drama na fitna lakini sijaona haswa sheria iliyovunjwa. Usisikie zile porojo za Zitto. Ngoja kesho.
Kosa kubwa nililobaini ni kwamba SingaSinga alikuwa na hati ya mauziano ya Iptl ila hati ya umiliki hakuwa nayo. Kwa maana hiyo aliuziwa kampuni hewa kwasababu hakupewa hati ya umiliki wa kampuni.
Rugemalira hakuwa na kosa lolote kuuza hisa zake. Hapo ndo kamati haikuweka sawa mambo siasa ikapigwa zaidi. Kilichomgarimu ni kuwa mali yake alimuuzia mwizi aliyekwapua sehemu ya fedha za umma. Kama umeuza mali yako kwa mwizi huoni kama fedha aliyokupa itakuweka matatani?
Zitto alikosa hoja, hati ya mauziano ni tosha kabisa kuwa wewe ni mmiliki, si lazima kuwe na share certificates immediately.
Hata Mahakimu walilikubali na kutoa ruksa ya kuwa PAP ndiye sasa mmiliki wa IPTL kwa hizo hizo hati za mauziano.
Katika mlolongo wa hoja ya Zitto kuna mengi sana hakuyasema na kuna mengi kaya dramatize, moja wapo ni hili la hati za umiliki wa shares.
huyu singasinga akamatwe fasta mpuuz sana huyu maana kina kova walikuwa wanakula na kunywa nae sijui kama wataweza kumtia nguvuni na unaweza kukuta kashapotea tutaambiwaanatafutwa na interpol
Duuu hadi viongozi wa dini kwenye mgao?
Afu kesho wanakaa madhabauni ooh waumini tuwaombee viongozi wetu tuachane na wizi
mxxyuuuuuu!!! zao loh!
hakamatwi ng'oo ujawajua matezi dume au unawaskia
My daughter na wewe leo umekuja huku? Ha ha haaaaa kweli pesa za escrow zimetugusa wengi