Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Na leo ZZK kavaa "gwanda" hii inamaanisha nini??
 
Billioni 70 ilitolewa cash money, hawa jamaa ni hatari ni lazima walienda na Fuso hawa.

Mungu wangu! Matola nisaidie km nikiwa na 70bil tshs, nitumie gari gani kubeba hela hizo
 
Last edited by a moderator:
Hatari sana ndugu...... inatia uchungu

Mpwa mwenzio nikipitaga Masaki huwa najiuliza sana kwani mimi nakosea wapi kwenye kutafuta pesa? Maana kama kujituma najituma haswa na kama ni akili naamini ninazo za wastani sasa tatizo liko wapi?

Kumbe leo nimepata jibu, billion 70 mtu anadraw cash money!!
 
nchi itajengwa na wazalendo italiwa na wenye meno
 
Back
Top Bottom