Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
tarime vijijini wanakimbilia porini kukwepa elf20 za ujenzi wa maabara
Wakati wenzao wanabeba pesa kwa mafuso na viroba hii nchi ni janga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tarime vijijini wanakimbilia porini kukwepa elf20 za ujenzi wa maabara
na yule mama aliyekuwa anamwambia mdee asimchafue kwamba hajachukua fedha mbona katajwa kwenye ripoti MAMA TIBA
Hatari sana ndugu...... inatia uchungu
naunga mkono na werema tumbili la taifa
na yule mama aliyekuwa anamwambia mdee asimchafue kwamba hajachukua fedha mbona katajwa kwenye ripoti MAMA TIBA
tarime vijijini wanakimbilia porini kukwepa elf20 za ujenzi wa maabara
Lukuvi kaondoka pembeni ya Werema!! Hehehehehe jamaa atakua kajinyea au ana jamba jamba ovyo hadi Lukuvi kashindwa kuvumilia!