Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Najaribu kuwaza kwa sauti Mashabiki wa Simba wanawananga sana mashabiki wa Yanga.. Vipi leo wao Simba wakafungwa na Yanga wakashinda..

Mashabiki wa Yanga sijui watatulizwaje maana calculator zitaamia upande wa Msimbazi.

Mpira wa miguu huwa na matokeo katili sana. Leo yetu macho! maana mmoja kati yenu(Simba au Yanga) anaenda kufungwa na ndo mwisho wake hakuna robo fainali.
 
 
Sawa tumekusikia ila kwa nini unapost mara mbilimbili?
 
Waza lakini uspige kelele mbele za watu utafungwa kamba upelekwe mirembe
Hii ni CAFCL sio UMITASHUMITA
Kama timu lako lipo kwenye mashindano ya akina mama hapa usiweke comment
Mashindano ya CAFCL mnaruhusiwa kutumia kikokotozi? 🤣
 

Attachments

  • Sativa255_20250112__1878367739422667194_1_18783676344227061760.mp4
    2.8 MB
We umekimbilia kuanzisha uzi usiku usiku ili uwe wa kwanza... Sasa hakikisha unatuletea live updates kweli sio kama mabungunya wengine wanaanzisha live updates halafu anapost full time..

Ukishindwa na wewe utakula ban!!
Huyu Mwamba Joseverest hajawahi kukosea. Atatupa live updates bila shaka kama kawaida yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…