Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Tafuta vidonge vya sukari na pressure uwe navyo kabla ya mchezo kuanza.
Hizi dalili ndiyo zilezileeee!

Yaani yoyote shabiki wa Yanga kama ana hitilafu flani kwenye ubongo!

Tumia dawa zako mapema sana kabla mechi haijaanza 😁😁😁😁
 
Sio chibite ni cibite
 
YANGA club above all πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’šπŸ’›
Yanga anashinda bao 2 na anaondoka na points 3 muhimu... Hii YANGA inaenda Robo hata CAF wanajua hivyo na wanasubiri kwa hamu...
 
I had the most amazing dream today! I dreamt that Yanga was going to win this game, with the final score being 3-2. The winning goal was going to be a fantastic free kick scored on the left side of the goalkeeper.
Mmekamatika sanaa,Yanga anaomba mengii sanaa
 
Mkuu tusijifariji mchezo ushaisha ibenge kashapewa chake kasema atawapangia kikosi b eti kashafuzu kwahiyo hataki kuwachosha key players wake, msomali kashafanya yake safari hii yanga wameamua kutafuta ushindi kwenye kila mechi kwa namna yoyote mradi wasiaibike, wakiwaza zile mbwembwe za kujifanya wana kikosi kipana na kuwauliza watu "we hauogopi" halafu cafcl waje kuishia makundi na nbcpl wakose ubingwa wataambia nini watu

 
Leo Africa nzima itatutambua
Yanga 3
Al hilal 1
 
Kikosi cha kwake ibenge, ameamua mwenyewe kupqnga hivyo wewe unaumia

Maajab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…