Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Wewe watakie ushindi Morocco.ila wakishinda wao wanasema ni ushindi wao na waarabu wenzao Kwa wewe unajipendekeza.jifunze kubalance shobo
Hapana wewe labda hauna tu kumbukumbu. Hayo maneno yalitamkwa na mchezaji moja wa Morocco kipindi kile lakini yalikanushwa vikali na kocha wao ambaye alienda mbali zaidi na kuomba radhi.

Hivyo hatuwezi tu kuwa watu wasiosamehe hayo yalishapita hivyo tushangilie tu timu za bara letu bila kujali dini, taifa wala rangi.
 
Sawa.basi wakishinda nitawasapoti.
Ila wakifungwq watakuwa wapo peke yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…