Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Yaani Morocco ndio imekuwa Brazil ya miaka ile isipokuwa Brazil ile ilikuwa na wamaliziaji mafundi sana.
 
Hii game Morocco angeshinda ila sjui kwanini wanacheza utadhani kama hawajui kuwa haya ni mashindano ya mtoano. Wakipata mpira hawako aggressive kwenda mbele badala yake wanacheza short passes katikati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…