Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Mechi haijafa, bado coastal union anayo nafasi ya kutoka na ushindi.
Ubora wa Coastal naona kama umepungua sana msimu huu, sijui labda mbeleni waje wabadilike. Ila sijaiona ile Coastal ya msimu uliopita walikuwa wanautulivu na usahihi mkubwa wa pasi na walikuwa na ukuta na kiungo imara sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…