Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Wazee wa simba si mmelianzisha, tulieni sasa wale mliowasema wafanye kweliYanga inaLindwa na Marefa kudaaadek
Mkakati wenu umefeli, tumepiga baba na mwanae. Yanga bingwaKwamba vyura tu ndo wamechezeshwa huu uwanja wengine hawachezi?
Hawa bila makosa ya kibinadamu ya marefa yatokanayo na bahasha za giesiemu hawana timu mwaka huu.Tuambizane.
Hivi kuna shambulizi lolote mmeona toka kwa Uto?
Hongereni sana, nyie ni noma.Mkakati wenu umefeli, tumepiga baba na mwanae. Yanga bingwa
Kapulize wewe kudadekiYanga inaLindwa na Marefa kudaaadek
Uzuri mpira wetu tunauelewa.Kapulize wewe kudadeki
Score board ilikuwa inasoma 0-0 badala ya 0-1, thus, reminded about a score board, in reality though your over reaction is uncalled forMalalamiko au Madunduka ukipenda waite Debora FC 0 Dume lao 1.
Malalamiko yote ni kwa Kayoko.
Point 3, clean sheet zoteKagolo Kamoja 1-0 FC
Hamna timu paleUto bila msaada wa marefa watashuka daraja.
Timu unayo wewe unaeongoza ligi na clean sheet za kutoshaHamna timu pale