Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Huyo ananekana hajui boli akishiba akikaa kwenye kochi la shemeji yake anaongea kitu hakijui huyo
 
Watu wanasema Mbunge hapo jijini ndiyo tatizo. Wanasema kumbe ndiye hupeleka Ng'ombe Kwa ajili ya zile supu za kafara.

Kwenye mechi 10 walizocheza, Dodoma Jiji haijawahi kushinda hata Moja dhidi ya utopwinyo. Siku wakicheza na Simba Mbunge hutoa mpaka ahadi ya hela kama wakishinda!?
 
 
Hoja yako ni nini?
 
Sindano ndio ziliwakimbiza...

Wamanga wa Chamazi noma sana video za sindano wanetunza kwa studio [emoji23][emoji23]
Kama unaamini kuwa sindano je kwasasa hivi hii performance kwanzia mechi dhidi ya Tp Mazembe, Mashujaa, Prisons na Dodoma imetokana na sindano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…