Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Inabidi wacheze jihad kwel kwel, yan sio kingine, hapo labda tunaweza penyaNgoja tuone hatujui.
Ila kama tukipiga mahesabu ya tuki waki na tukimuombea njaa MC alger abondwe huwenda tukavuka kama msimu wa jana.
Washaanza kutoa milioHawa Wazee bila kuanzisha tena zile kelee za Sindano, GSM anaharibu Ligi, bahasha, tunahamia ligi ya Zanzibar Ubingwa hatuchukui.
Nimekaa pale.
hadi hapo tuna milioni 15 za goli la mama. Hivi hata timu hizi ndogo nazo huwa zinagawiwa hela?
Maana mie nilitizama game.Inabidi wacheze jihad kwel kwel, yan sio kingine, hapo labda tunaweza penya
Don't take things serious in this forum. Huku ni stress free. Mambo ya huku ukitaka kufuatilia dot kwa dot lazima moyo utanuke.Lini mnapeleka kesi FIFA? Maana ushahidi mnao kwanini msiende kufungua kesi ili iwe funzo?
Hiyo milio huwa inaashiria timu imeanza kurudi kwenye kiwango chake.Washaanza kutoa milio
Kwakweri in jiwe voiceTihefu hefu, itakua wanakula hela za giesiemu, haiwezekani waruhusu yanga icheze leo kuvuruga fuLAha yetu mwakapenati fc(kolomudi).
Mpira unapigwa,,Kasi unaiona,,transition unaziona,,na gozi la ngo'mbe linatembezwa kwenye uwanja mgumu,,gusa achia twende kwao inafanya kazi,,pale sio kmc stadium lakini ubao ushasoma 3-0,,wengine wanakuwa kmc stadium lakini wanapata matokeo ya papatupapatu refa niokoe!
Kule Lubumbashi hakuna CCTV? kwanini hamtaki kutumia fursa hii kupeleka vielelezo vyenu FIFA ili hatua zichukuliwe?Ndio mkuu, unajua hawa jamaa na viwanja vyenye cctv hawapatani kabisa.
Mavi ya zamani hayanukagi kijana, tunaongelea CAFCL ya 2024 /2025...Tulishawahi kuwa mkiani hivi hivi baada ya mechi tatu na kuambulia point 2 tu hadi mkatukatia tamaa msimu uliopita na mwisho wa siku Yanga ikafuzu kwenye kundi gumu zaidi ya hili.
Hapo Uto kabanwa kario na Al hilal ndani ya hio room ππMilio hadi kuandika hauweziππππππView attachment 3184867