Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Kuna tofauti kubwa sana ya kushinda goli nyingi na penati ikiwemo halafu kuna kushinda mechi iliyoamuliwa kwa penati baada ya kuongezwa dakika 6. Mambo ya refa hakikisha mpira haumaliziki bila ya Bwana yule kushinda sisi hatuna. 😂😂
Ilikuwaje mkalia meee kroooo kwa Mkapa mlipokutana na Al hilal?

Furahini kwa kuwapiga walima zabibu wenye njaa ila huko CAFCL nyie ni mdebwedo tu mamaeeh
 
Tulishawahi kuwa mkiani hivi hivi baada ya mechi tatu na kuambulia point 2 tu hadi mkatukatia tamaa msimu uliopita na mwisho wa siku Yanga ikafuzu kwenye kundi gumu zaidi ya hili.
 

Attachments

  • Screenshot_20241225_175239_Chrome.jpg
    230.6 KB · Views: 2
Ilikuwaje mkalia meee kroooo kwa Mkapa mlipokutana na Al hilal?

Furahini kwa kuwapiga walima zabibu wenye njaa ila huko CAFCL nyie ni mdebwedo tu mamaeeh
Hoja hapa ni ligi kuu habari za CAF za Nini kweli rage alikuwa sahihi kuwaita lile jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…