Mpira umejifunzia ukubwani acha keleleUsijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
Mtanena kwa lugha na bado,,timu Bora itajulikana mwisho wa msimuHakuna kitu hapo! kinachofanyika ni kujitekenya na kucheka mwenyewe!! Mfadhiliwa lazima amwachie mfadhili!! Kipima joto ni mechi za kimataifa!! huko GSM hana timu anayoifadhili!!
TakatakaUsijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpiraHivi kuna goli gani kwenye mchezo wa mpira wa miguu uliwahi kuona limefungwa pasipo makosa ya mpinzani? Wewe ndiye yule Rage aliyekuwa anasema kuwa ni mbumbumbu
Thibitisha acha kurukarukaKwani wewe ni mgeni hapa bongo?
Punguza sauti mkuu uto hawapendi kusikia habari za CAFCL wanakobuluza mkia.Hakuna kitu hapo! kinachofanyika ni kujitekenya na kucheka mwenyewe!! Mfadhiliwa lazima amwachie mfadhili!! Kipima joto ni mechi za kimataifa!! huko GSM hana timu anayoifadhili!!
Sijafanya kitu leo, Dodoma walijifunga magoli yote manne wewe ndiye uliyefanya kitu jana kwa kupewa penati dakika za nyongeza. Kuvamia mpira ukubwani ndio matokeo yake ndio haya unaandika pumba tupu.Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira
1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani
2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.
Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
Haya si maneno mageni hapa jijini.Mfadhiliwa (Dodoma Jiji) hana ubavu wa kula jeuri yake mbele ya mfadhili wake (GSM)!
Naam mambo yameenda vile vileYanga bingwa [emoji172][emoji169]
Tunashinda 4-0
Aziz Ki
Dube 2
Mzize
Na mpira ni mchezo wa makosa, fanya makosa mwenzako anufaike nayo.Usijisifu kumfunga dodoma jiji,Angalia magoli yako ulivuofunga yote yametokana na makosa ya mpinzani wako sio jitihada za Yanga kasoro goli la Kona tuu.
Hata simba jana hakufanya kitu,Tazama alivyochezaSijafanya kitu leo, Dodoma walijifunga magoli yote manne wewe ndiye uliyefanya kitu jana kwa kupewa penati dakika za nyongeza. Kuvamia mpira ukubwani ndio matokeo yake ndio haya unaandika pumba tupu.
Yameibuka tena🤣🤣Haya si maneno mageni hapa jijini.
Vipi Tp Mazembe ni kipimo au sio kipimo?Yameibuka tena[emoji1787][emoji1787]
Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpiraNa mpira ni mchezo wa makosa, fanya makosa mwenzako anufaike nayo.
Siyo Simba hii!! Usiishi kwenye historia!!Kwahiyo hata Simba nao ni tawi la Yanga!?
Una akili kisoda kweli wewe,ukiambiwa uthibitishe unachosema huna hata moja unaloweza kuthibitisha.
Yanga imefanya yote.Hapo Ndio tunatofautiana,Kuna makosa mawili kwenye mpira
1.Ambayo team inafanya yenyewe bila presha toka team pinzani
2.Makosa ambayo team inafanya kutokana na juhudi za team pinzani.
Sasa Hebu niambie umefanya kipi leo zaidi ya goli la kona
Msimu huu Simba haijafungwa na Yanga!?Siyo Simba hii!! Usiishi kwenye historia!!
Si mageni lakini yana ukweli!!Haya si maneno mageni hapa jijini.
Tena msimu huu ni mara mbili kafungwa ( ngao na ligi kuu)Msimu huu Simba haijafungwa na Yanga!?
Au msimu huu nao ni historia!??
Goli la papatu papatu la kujifunga!! ni aiobu kujisifia goli kama hilo!! Japo ni goli kikanuni lakini uto hawezi kujisifia goli hilo kwa haki!Msimu huu Simba haijafungwa na Yanga!?
Au msimu huu nao ni historia!??