Kwani MC Algier walipocheza na nyie walikuwa na mashabiki?Yanga ana mechi 1 ya ugenini dhidi ya Al Hilal
Al Hilal hayupo Sudan yupo Mauritania ambapo hana mashabiki kwaiyo tutakuwa kama tupo neutral ground
Na kumbuka tutakuwa tumepata boka kutoka majeruhi na usajili wa wachezaji muhimu
Sisi tunaomba ashinde mc Alger ili tuje kucheza nae mechi ya mwisho akiwa ashafuzuKila mechi inaamua kundi mkuu. Mfano ikiisha sare ni nzuri kwa Yanga na Mazembe kuliko Alger akishinda.
Mc Alger walitukuta timu yetu ina majeruhi wa muhimu hasa Aucho na BokaKwani MC Algier wanapocheza na nyie walikuwa na mashabiki?
Mnapaswa kuwaombea droo. Katika 9 zilizobaki itawapunguzia mzigo wa kulazimika kuzibeba zote 9.Sisi tunaomba ashinde mc Alger ili tuje kucheza nae mechi ya mwisho akiwa ashafuzu
Hayo mashindano ya kina mama mapoyoyo walishashiriki mara nyingi mno.Napoyoyo kuliko wale wanaoshiriki mashindano ya akina mama
Me naonA tukicheza na mc Alger akiwa anatafuta points hapo tunaweza kukwamaMnapaswa kuwaombea droo. Katika 9 zilizobaki itawapunguzia mzigo wa kulazimika kuzibeba zote 9.
Usiombe tucheze na mc Alger akiwa anatafuta matokeoSisi kama Yanga tunaomba ibaki hivihivi. Yaan iishe sare
Kwahiyo tuseme Yanga itashinda mechi mbili za nyumbani na kufikisha point 7, Al Hilal akitoa draw na mazembe anakuwa na point 7,akimfunga anakuwa na point 9,Mc Alger akimfunga Mazembe anakuwa na point 10, upo uwezekano Mc Alger na Al Hilal kuchukua points kwa Mazembe,halafu utakuwa haupo serious kumfunga Al Hilal ugenini au draw wakati kakutandika hapa hapa mbele ya mashabiki wako,hata kama aliko hana mashabiki we unao ukienda kwake?Yanga ana mechi 1 ya ugenini dhidi ya Al Hilal
Al Hilal hayupo Sudan yupo Mauritania ambapo hana mashabiki kwaiyo tutakuwa kama tupo neutral ground
Na kumbuka tutakuwa tumepata boka kutoka majeruhi na usajili wa wachezaji muhimu
Timu imejaa wazee,walevi na wagonjwa itaweza wapi kushinda mechi zote.Nimekuambia hata wewe unaelewa mazingira ya kipindi kile sio ambayo yapo leo.
Timu yenu ya sasa hali yake ilivyo sio ya kuitumainia kushinda mechi 3 tena katika hizo 3 kuna 1 ya ugenini.
Hamjawahi kosa sababuMc Alger walitukuta timu yetu ina majeruhi wa muhimu hasa Aucho na Boka
Na Coach alikuwa mpya katika mazingira Yale ilikuwa ni ngumu kushinda
Ila Sasa mechi zijazo coach atakuwa ashapata time na ninaamini tutashinda
Swali mtambuka hilo👆😅🤣,hata kama aliko hana mashabiki we unao ukienda kwake?
Mechi ya Al Hilal tukicheza ilikuwa mechi ya kwanza ya coach Saed RamovicKwahiyo tuseme Yanga itashinda mechi mbili za nyumbani na kufikisha point 7, Al Hilal akitoa draw na mazembe anakuwa na point 7,akimfunga anakuwa na point 9,Mc Alger akimfunga Mazembe anakuwa na point 10, upo uwezekano Mc Alger na Al Hilal kuchukua points kwa Mazembe,halafu utakuwa haupo serious kumfunga Al Hilal ugenini au draw wakati kakutandika hapa hapa mbele ya mashabiki wako,hata kama aliko hana mashabiki we unao ukienda kwake?
Tutashangaza ulimwenguHaijawahi kosa sababu
Mahesabu ya Yanga kwa kifupi wanatoka, Mc Alger na Al Hilal watachukua tu point kwa Mazembe, Yanga hawezi kumfunga Al Hilala ugenini na pia anaweza asimfunge MC Alger hapa nyumbani,na pia unaweza ukashanga wakatoka sare na hao hao Mazembe hapa nyumbani.Swali mtambuka hilo👆😅🤣
Ulisema mechi zijazo mtakuwa fiti pia kuna nafasi mnaweza kusajili,je hao hawatafanya usajili na wanakoelekea hawatakuwa na fitness? Tatizo hamtaki kukubali kwamba timu yenu ni mbovu,mechi 3 point 1 na upo mkiani bado mnawaza kumfunga Al hilal ugenini,hata hizo za nyumbani zinaweza kuota mbawaMechi ya Al Hilal tukicheza ilikuwa mechi ya kwanza ya coach Saed Ramovic
Siamini kama Al Hilal walituzidi sana naona mechi ngumu ni ya mc Alger tena akiwa anatafuta point i
Huu ni mpiraUlisema mechi zijazo mtakuwa fiti pia kuna nafasi mnaweza kusajili,je hao hawatafanya usajili na wanakoelekea hawatakuwa na fitness? Tatizo hamtaki kukubali kwamba timu yenu ni mbovu,mechi 3 point 1 na upo mkiani bado mnawaza kumfunga Al hilal ugenini,hata hizo za nyumbani zinaweza kuota mbawa
Punguza uchawiMahesabu ya Yanga kwa kifupi wanatoka, Mc Alger na Al Hilal watachukua tu point kwa Mazembe, Yanga hawezi kumfunga Al Hilala ugenini na pia anaweza asimfunge MC Alger hapa nyumbani,na pia unaweza ukashanga wakatoka sare na hao hao Mazembe hapa nyumbani.