Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Juzi nimeangalia mechi ya Uefa nations league, ujerumani na italy

Goli alilofunga musiala ni kwamba mabeki na kipa wa italy walizubaa na kuanza kubishana kutokana na kuutoa mpira kuwa kona

Basi ujerumani wakaanza chap wakatumia fursa kufunga goli

Kuna somo la kujifunzaa kwa timu zetu za nbc premier league ambapo kuzubaa ni jambo la kawaida
 
Aliyetufundisha mpira wa kujihami katusaidia ila pia katuharibu. Timu ya taifa imepoteza kabisa uwezo wa kutengeneza magoli ingawa pia kufungwa inakuwa vigumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…