Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Simba waache ujinga mpira ni mchezo wa namba sio maombi

Ingekuwa hivyo Vatican na Mecca zingekuwa ni nchi zenye makombe mengi kuliko wote
 
Dakika 73"
Maroc 2 - 0 Tanzanie

Charles M'Mombwa anampatia pasi murua Msuva ! Lakini anashindwa kumalizia
 
Wemgine watatumia kufungwa kwa Stars kama opportunity ya kuisema TFF kwa kile kinachoendelea kufuatia Derby kuhairishwa.

Shensiiii
 
Afadhari tupigwe tu maana tukishinda watasema sababu ya mama yao
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…