Waulize watu wa nyamidela wanajua😀😆😃Ngapi ngapi huko? Sisi tulio huku Nyamswa hatujapata matokeo bado.
Ata tukisema tufanye maboresho bado tunahitaji muda mrefu na mipango thabit kuwa na timu nzuri ya ushindani.Hakuna kitu tusikubali kuwa wanyonge ukweli ni kwamba mpira wetu unahitaji maboresho makubwa sana
😅😅Ondoa shaka mkuu,kesho nina safari ya kwenda Kyabakali so nitanunua gazeti la Mwanasport ili kujua hii timu iliyo chini ya 4Rs imeshinda ngapi.Waulize watu wa nyamidela wanajua😀😆😃
Anawapiga 5Mkute mzize akicheza na gsm family team, anateleza huyo.
Mimi binafsi nitaendelea kusema hili siku zote, bila kuweka mikakati kabambe ya kusaidiwa na diaspora tutabakia kuwa wa hivi hivi tu siku zote, timu yetu ya taifa itaendelea kuwa dhaifu hivi hivi maana wachezaji wake ni hawa hawa mediocre players tunaozalisha hapa nyumbani.Ata tukisema tufanye maboresho bado tunahitaji muda mrefu na mipango thabit kuwa na timu nzuri ya ushindani.
Morocco ina ma pro kikosi kizima tena wengi wanacheza timu kubwa Europe.
Ili ushindane nao unahitajika uwe na ma pro wengi wanao tokea timu kubwa za europe.
Kwasasa mzani hauko sawa tusiongopeane.
Bravo kwa vijana wa stars, wamepambana.
Ahahahaha..kweli aisee..utafikiri mhehe wa Kalenga bwana!!Umeongea kihehe sana😀😆😆😃
Mimi msereleko na wifiInakunywa bando so mchezo
Fanya kuangalia game ya Argentina VS BrazilNipo naangalia zangu gem ya detroit Pistons wala sina muda na upuuzi
Mafala kama nyie ndio tatizoSiyo mbaya, turudi kwenye sinema zetu.
Jee Derby itachezwa au haichezwi? Wale wazee wa Simba siku ile walikuwa kina nani?
Halafu ni kwa nini wale mbuzi waliokuja nao simba wote walikuwa weusi?
Kumbe kati ya wale mabaunsa na mandonga mtu kazi naye alikuwemo🙄
Mbona Brazil wanateseka, kushakuwa asubuh ngoja nilaleFanya kuangalia game ya Argentina VS Brazil
Mpak a sasa ni dk ya 5 Brazili ameshakunyugwa moja mfungaji ni Julian Alvarez
Kafunga ngapi leoKibu Denis ni mchezaji muhimu sana kwenye mechi za kimataifa!
Kibu Denis akicheza na Coast Union unaweza kuzani ni DrogbaAkicheza na GSM wenzake unaweza kuzani Zinadine Zidane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]