Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Nimetia laki kwa point ya star tusije tafutana baada ya mechi kuisha
 
Hali ikoje huko? Hapa nilipo umeme hakuna.
😭😭😭😭
 
Tofauti na watu wasivyotegemea, Tanzania tuna nafasi ya kuushangaza ulimwengu na kufuzu kwenda World Cup 2026.

Kwa kumbukumbu zangu, Tanzania hatujawahi kuwa this close kufuzu World Cup.

Leo tukijitahidi tukashinda 2-0 tunatoboa!
kwa kushenyentwa 10!
 
Mbona Azam wanaonyesha highlights za mashindano tofauti za hiyo mechi ya Morocco na Tanzania? Hivi mmegundua hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…