Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Pigaaaambeaaa haoooooo wametutesa sana kwaooo
 
HUYU BWANA 3 zinamhusuu kwanza wamemfhelesha
 
Kwani VAR za Afrika utendaji kazi wake ni tofauti na VAR za ulaya?
 

Kwenye mpira kuna mambo mawili tofauti
La kwanza ni current form na la pili ni historical form. Sasa wewe unataka kuleta mambo ya historical form kwenye mpira kitu ambacho sio sahihi, hukumu ya ubora upimwa na current form na sio ukubwa wa majina ya timu

Mfano ni Enyimba na Asante Kotoko ni timu ambazo ziliwahi kubeba mataji ya Africa ila ukaja kusema timu fulani imekutana na timu ngumu kwavile hizo timu ziliwahi kuchukua ubingwa mwaka 2005, n k hapo utakuwa hauongelei soka kwa zama za sasa bali ni kwa zama zilizopita. Angalia current form za timu na current form unaipata katika consistency ya matokeo katika mashindano ya ndani na ya kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…