Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mkuu ulitupotezea
Mkuu sijawapotezea bali nilikuwa madhabahuni, nilipotoka tu nilikutana na umati mkubwa ukishangilia kwa nguvu, nilipoona tu jezi za washangiliaji nikajua fika kuwa mnyama kaliwa!
Ni kweli mkuu tumempakata vzr sana
Jukwaa limebaki na washindi tu mikia haoooo wamesepa kidizaini.
kWA RAHA ZETU LEO
Jukwaa limebaki na washindi tu mikia haoooo wamesepa kidizaini.
Mkuu mbona ulikua huonekani?Au ulikua hujiamini?
Lzm wale kona mikia humu,wale wa taifa tu walisepa dk ya 70
Nilitabiri hili tokea mapema...raha sana kuwa shabiki wa Yanga,muda wote unajiamini.
Yalaaaaa uwiiiiiiiiiiiiii wapi popoma GENTAMYCINE?
Ndiyo Yeye Aliyefukiwa Baharini Bagamoyo Na Sasa Wamemfukua Baada Ya Ushindi Wenu Wa Kusaidiwa Na Referee POPOMA Israel Nkongo.
leo mnaongea sana
Ndiyo Yeye Aliyefukiwa Baharini Bagamoyo Na Sasa Wamemfukua Baada Ya Ushindi Wenu Wa Kusaidiwa Na Referee POPOMA Israel Nkongo.
Nilikuambia nini GENTAMYCINE?Leo utakavyonitukana ni hatariiiii.