Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tuna wachezaji wazuri Sana nadhani falsafa yake kocha ndiyo siyo sawa.Sahihi kabisa. Nafasi yake leo alitakiwa kucheza Fernandes
Ataenda kupasuliwa vibaya mno yaan hio game naisubiri kwa hamu sanaHii haijaisha.. kolo akienda kwao lazima apasuke
Hii sio mtaono braza hapa tunatafuta point....kikubwa tunaweza paki bus wakabakia na 0 point from us...Subirini Angola mnaenda kufa vibaya hahaha
Yaan leo mlikua mnakaa goli zaidi ya 3 ndio kumaanisha timu mbovuNdio kazi yake hyo.. we unafikiri analipwa kwa sababu gani
Sio yeye huyo wewe Angola huko mnaenda kufa goli nyingi hahahaMwandiko kama wa Labani og
Angalia mnavyoenda kupasuka huko AngolaHawa vyura wa utopolo hivi wana akili kweli..hii ni group stage hapa ni points tuu...yy kashapasuka huku kwetu kila mtu ashinde mechi zake..kwa Mkapa ni machinjioni...
Yuko wapi kwani.. Ya Angola yasikupe jakamoyoSio yeye huyo wewe Angola huko mnaenda kufa goli nyingi hahaha
Soma hyo msg ww chura...tafuta point kwako kwa udi na uvumba...Angalia mnavyoenda kupasuka huko Angola
Point 3 kwa mbinde hahaha mmepelekewa moto haswa ulimi nje nipo na mashabiki wa Simba muda wote wanaomba mpira uishe roho juu juu hahahaKipindi cha kwanza tulipata nafasi halafu wachezaji wakawa wanataka kukokota mpira na kupiga golini wenyewe... one to one ingetusaidia kuwa safe zaidi kipindi cha pili. Ila cha muhimu pointi tatu tumepta
Hasa lile tobo๐ kama la mzee toboa tobo๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐Ila aibu ya jana itakaa kwny kumbukumbu...
Huyo kaingia mitini hahahaYuko wapi kwani.. Ya Angola yasikupe jakamoyo
Hakuna timu mbovu iliyofika stage hio.. wameshindwa kutumia nafasi... sisi tumetumia nafasi hio ndio gemu. Jana yanga mlipta shots zaidi ya kumi na bado mkafungwa na walipta shots chini ya tano... endeleni kuokota ujuzi wa mashindano haya kwetuYaan leo mlikua mnakaa goli zaidi ya 3 ndio kumaanisha timu mbovu