Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Uwanja ulitiwa nuksi Jana. Majitu Makubwa yanalia ndio yametuletea ugumu leo😂😂
 
Kipindi cha kwanza tulipata nafasi halafu wachezaji wakawa wanataka kukokota mpira na kupiga golini wenyewe... one to one ingetusaidia kuwa safe zaidi kipindi cha pili. Ila cha muhimu pointi tatu tumepta
 
Hawa vyura wa utopolo hivi wana akili kweli..hii ni group stage hapa ni points tuu...yy kashapasuka huku kwetu kila mtu ashinde mechi zake..kwa Mkapa ni machinjioni...
Angalia mnavyoenda kupasuka huko Angola
 
Simba viungo wa kati shida sana.
Timu inapoteza mipira kirahisi sana.
 
Kipindi cha kwanza tulipata nafasi halafu wachezaji wakawa wanataka kukokota mpira na kupiga golini wenyewe... one to one ingetusaidia kuwa safe zaidi kipindi cha pili. Ila cha muhimu pointi tatu tumepta
Point 3 kwa mbinde hahaha mmepelekewa moto haswa ulimi nje nipo na mashabiki wa Simba muda wote wanaomba mpira uishe roho juu juu hahaha
 
Back
Top Bottom