Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Tuna wachezaji wazuri Sana nadhani falsafa yake kocha ndiyo siyo sawa.Sahihi kabisa. Nafasi yake leo alitakiwa kucheza Fernandes
Yeye anasema kuwa anataka wachezaji wapige pasi za karibu karibu .