Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Haya mashindano yanahusu nini? Hizo timu sijui Bravos, Simba sijui constantine zinatoka wapi? mshindi anachukua mbuzi au gunia la maharage? Nina timu yangu huku Bunju ninaruhusiwa kujiandikisha?
 
Haya mashindano yanahusu nini? Hizo timu sijui Bravos, Simba sijui constantine zinatoka wapi? mshindi anachukua mbuzi au gunia la maharage? Nina timu yangu huku Bunju ninaruhusiwa kujiandikisha?
Jana mlikandwa vibaya mno.
 
Umetisha sana.
Kuna hiyo moja ya Tanga kuna kilio cha Baabu 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…