Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Na sioni kama anajua "Chemistry" ya wachezaji wake. Na anampenda Fabrice Ngoma lakini Ngoma kwa sasa si mchezaji wa kutegemea.

Halafu style ya.kucheza ya Mutale na Chasambi ni ya kizamani Sana. Ila yeye anapenda style hiyo.
Mshukuruni Camara leo pale zilikua sio chini ya goli 3 wavuni
 
Kocha wa Simba leo amejikaanga mwenyewe kwenye first eleven, bado sub. akafanya za kijinga... Bahati timu imeshinda la sivyo leo angeonja joto la hasira la mashabiki wa Simba. Amenikera sana leo aisee... Very poor perfomance aiseee.
 
Ni bonge moja la timu huko Angola Simba anaenda kufa vibaya hii timu inacheza sio mchezo kuna wapuuzi watasemaje wamedungwa Sindano hahaha

Points 9 za nyumbani kati ya Points zote 18 ni Lzm zibaki hapa nyumbani..!

Halafu huko nje Ukifanya Maokoto yoyote ya Points unajazilizia...!

Hizi ndizo hesabu hatua hii ya Makundi.

Sasa nyi Utopolo mmekomaa kichwa mumpige Al Hilal 5 zimewatokea puani..
 
Subiri uende Angola ukashuhudie balaa
 
Back
Top Bottom