zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mshukuruni Camara leo pale zilikua sio chini ya goli 3 wavuniNa sioni kama anajua "Chemistry" ya wachezaji wake. Na anampenda Fabrice Ngoma lakini Ngoma kwa sasa si mchezaji wa kutegemea.
Halafu style ya.kucheza ya Mutale na Chasambi ni ya kizamani Sana. Ila yeye anapenda style hiyo.