FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Karia ajiuzulu tu upuuzi anaharibu mpira wetu
 
Sijaangalia wala kusikiliza ila kwa ninachosikia kwa kelele huko nje, kwamba dakika 19 zimeingezwa basi Hongeleni kwa kubebwa.

Hadi shabiki wenyewe wa simba wanakaa kimya kikuu kwamba hapa 'tumebebwa asee!'
 
Leo Happy Hour tunakunywa machozi ya Uto knmk πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…