Refa kajionyesha kabisa anavyowabeba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ubaya ubwela
Hadi mseme kwanini mliifunga Simba goli 5
Sijui kazi ya kocha ni nini, walitakiwa kushinda kabisa ila wao wakajigeuza timu ya ndondoTimu ndogo zifunfishwe displine ya foot ball...
Badala ya kulaumu waamuzi
TumefanyajeKabisa yaani, waamuzi wanapaswa kudhughulikiwa Ili kutoa funzo
Subirini mkono moroccoMatch ndogo hivi inatutoa jasho dadeki
Ubayaaa UbwelaaaaUbaya ubwelaaa
Ubaya ubwelaaaa...si tunasikia mmeamza kuwasaidia RS berkane...nakuapia mwaka.huu lazima mteme bungo manina.Mmebebwa
Upuuzi ambao umeshindwa kuutaja. Mpira ni mchezo wenye sheriaHuu ni upuuzi kuwahi kutokea.
Na la pili nalo kwa penat?Wazee wa penalti za kununua
Ingekuwa penati zinatolewaga tu kienyeji hivyo basi Simba ingetolewa na Stellenbosch Jumapili. Lakini kwavile ni matukio yanayonufaiisha timu unayoipenda basi shabiki hugeuka kipofuTimu ndogo zifunfishwe displine ya foot ball...
Badala ya kulaumu waamuzi
Una uhakika. Zilipotea dk 15 really ???Mnaolalamika kuongezwa dakika 15 kwani zilizopotea ni ngapi?
Ni kweli kawatengea Yanga point 24 za bure yaani Yanga kabla ya kuanza msimu ana pointi 24 kibindoni ni kweli Karia hafai kabisa😅😅😅Karia ajiuzulu tu upuuzi anaharibu mpira wetu
Mkono upiSubirini mkono morocco
Nenda kamtoe kama unao uwezo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karia ajiuzulu tu upuuzi anaharibu mpira wetu
Hujui mpira we maandazi.Huu ni upuuzi kuwahi kutokea.