FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

Utopolo wanahonga timu ndogo ziwakazie simba na ziwalegezee wao lakini kichapo kitaendelea kuambatana na maumivu makali hadi mnyooke
 
Sijaangalia wala kusikiliza ila kwa ninachosikia kwa kelele huko nje, kwamba dakika 19 zimeingezwa basi Hongeleni kwa kubebwa.

Hadi shabiki wenyewe wa simba wanakaa kimya kikuu kwamba hapa 'tumebebwa asee!'
Acha utapeli wewe...
 
Mashujaa wamepoteza dakika nyingi mno tofauti kuliko zilizoongezwa.

Hii shida ya kuahidi vitimu kuikazia Simba ndiyo itasababisha uto watanuke moyo maana kila dau wanaloweka wanaangukia pua.
 
Simba my team ila mioyo inawasuta
Mkubali
Ila uwezo hatuna
Huna kocha.
Huna wachezaji.
 
Ujinga mfanye nyinyi lawama mpeleke kwa refa.
Onyesha kosa la refa ni nini
Kosa hana makosa katimiza malengo yake ya kuhakikisha Simba inashinda mechi kwa namna yoyote ile. Mission accomplished, utaona vipi makosa ya mwamuzi wakati umefurahia kilichofanywa na mwamuzi bila kujali usahihi wake?
 
Haya - mamluki wa GSM mliojazana humu kwa lengo la kuikejeli Simba nendeni sasa kwa huyo bwana wenu mkachukue ujira wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…