Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Unawapa code, waache wajipe moyo wapasuke
 
Ikiwa imebaki saa 1 dk30 kupigwa derby,tambua kuwa Simba anaingia akiwa hajashinda mechi yeyote ya ligi tangu Nov.2023 pia unakuwa mchezo wake wa 9 akiwa hajafanikiwa kuifunga Yanga ndani ya dk 90. Hivyo ukweli ni kwamba Simba wanapresha zaidi kuliko Yanga kifupi hawana furaha.
 
Tulia na mahistoria yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…