H2H inahusisha goli la ugenini ndio.Itategemea AS Vita atamfunga Simba goli ngapi. Ili Vita apite atatakiwa kumfunga Simba pale Kwa Mkapa kwa tofauti ya kuanzia goli 2, yaan 2-0, 3-1 etc.
Maana timu zinapolingana points huangaliwa H2H baina yao. Sijajua kama hii H2H huhusisha pia advantage ya goli za ugenini
Hawaangalii goal difference bali wanaangalia H2H. Angalia hapo chini Casablanca wako juu ya Mamelodi pamoja na Mamelodi kuwa na magoli mengi zaidi ya Casablanca, lakini wapo chini kwasababu wameruhusu goli la ugenini dhidi ya Casablanca mamelodi walishinda (2:1) huku game yao Morocco Mamelodi wakifungwa (1:0)Mimi nadhani kama simba atafungwa game zote na Vita akashinda zote kitakachoangaliwa ni goal difference ambayo mpaka sasa bado inambeba Simba ambaye amefunga magoli 5 na hajafungwa lolote hivyo ana goal difference ya +5, huku Vita amefunga 6 na amefungwa 6 hivyo ana goal difference ya 0.
Hivyo ili vita apite inabidi amfunge Simba goal labda 3 pia Ahly amfunge simba magoli mengi huku Vita akiendelea kujitahidi asifungwe zaidi ili goal difference zimbebe,
Ni kwa mtazamo na maono yangu,
Hesabu bado zinaruhusu yyte Kati ya timu tatu kufuzu.......ndio, Vita wakishinda mechi 2 tunalingana point. Merrick wakiwa Congo wanaweza kufungwa 10
Vita imtegemee sana Yesu au SWA...Hesabu bado zinaruhusu yyte Kati ya timu tatu kufuzu.......
Mwisho wa Simba kushinda ulikuwa ni leo..Nafurahi tumeshinda ila hawa jamaa wangekuwa makini wangepiga hata 2
Lazima tujirekebishe mchezo ujao, matokeo yanaweza kuwa ya kikatili tusipojiangalia.
Bado hv unajua hesabu we!!Hadi hapa kwa 95% hata wakiharibu mechi zilizobaki amepita kwenda round inayofuata
🤣🤣🤣🤣Wahehe msijifanye mko bize na matokeo ya Simba....mrudishieni WEMA mbwa wake .....
Baada ya kuwatoa wachezaji 8 eti wana korona, sasa wameandika huko Caf tusubiri mwongozo utatumwaKakaa, Hii Simbaa Hatariiii [emoji91][emoji91][emoji91]
Kwenye head to head nani kamfunga mwenzake goal nyingSawa mkuu.
Kwa mfano Vita akishinda mechi zake zilizobakia na Simba afungwe zote,apo watalingana point kati ya Simba na Vita,je nani atapita apo?
Na badoHongereni Simba kwa matokeo mazuri! Mko vizuri
Mshaanza majivuno sasa! Ndiyo hapa tunashindwana na nyie watu😀 mmeotea tu leo kuwafunga hao 😬Na bado
Hatufi wala nini, leo mmeotea tuu😛Utopolo watakufa kwa presha
Hapa pamenifikirisha, Sasa AS VITA alipigwa kwao na Simba....ndo kusema AS VITA akifurukuta saaana ataishia point 10 ambazo Simba Sasa anazo. H2H VITA alipigwa na Simba tena nyumbani...! Kwa hiyo Kwa Simba njia Nyeupee....Hawaangalii goal difference bali wanaangalia H2H. Angalia hapo chini Casablanca wako juu ya Mamelody pamoja na Mamelody kuwa na magoli mengi zaidi ya Casablanca, lakini wapo chini kwasababu wameruhusu goli la ugenini dhidi ya Casablanca mamelody walishinda (2:1) huku game yao Morocco Mamelody wakifungwa (1:0)View attachment 1727297