FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Ngoja tuone second half..eeh Mungu tupe furaha wana msimbazi..
 
Zitto ameongea na huyu ndugu yake asilete usumbufu kwenye ardhi ya nyumba..

Wabantu kabwe, As Vita palyer anatokea kigoma.
 
Wamepokelewa na Azam FC na Basi pia wamewapa la kwao.
Sio kwamba wamepokelewa na Azam. Simba ndio imewapokea kama mwenyeji, na imewakodishia basi la Azam. Ni utaratibu wa kawaida wa CAF. Hata Namungo wanaweza wakaomba basi la Simba litumiwe na wageni wao Nkana
 
Back
Top Bottom