Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Simba inatisha, na hapo wengi wwa wachezaji wake wako kwenye mfungo wa Ramadhani
 
Mpira umeisha.. ingekua 7 ila mpanzu chance ya mwisho alitaka kufunga yeye na wakati alikua na nafasi nzuri ya kumpasia ahoua ama kibu...hii inaonesha Kuna uchu mkali wa kufunga ndani ya Simba ...

6-0
Ni kweli mkuu inaonekana kuna kauchoyo flan hivi,kuna move Mukwala angemuachia ahoua angefunga yeye akapiga nje,hayo mambo huwa yanaigharimu simba,inabidi wajirekebishe
 
Ateba anastahili maombi ya tuisheni, dakika za mwisho anakosa goli la wazi
 
Nguvu mbili leo wanasema haya magoli yaliwahusu yanga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnafurahisha😄kwani inakuaje vya moto mnakimbia ila viporo mnashobo navyo?😃
 
Nguvu mbili leo wanasema haya magoli yaliwahusu yanga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnafurahisha😄kwani inakuaje vya moto mnakimbia ila viporo mnashobo navyo?😃
Kama timu yako haijawahi kufungwa 6-0 na Simba nyoosha mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…