Madrid haitolewagi kwenye makundi 🤣Tabora tangu ianzishwe ndio imepata matokeo msimu huu ni kama Simba tu ilisha wahi kutokea akapata matokeo kwa Yanga.
Yanga ndio kiboko wa timu zote apa Tanzania, Ni kama Madrid na Uefa Champion league.
Nyie ndio kinamama wakubwa maana mnaringia vidani mlivyopewa badala ya kombe,Sie hiyo Klabu Bingwa tumeshacheza hadi nusu fainaliKombe la kina mama aliitwi kimataifa.
Kule Kombe la Kina Mama tulibutua timu zote, hakuna timu tuli iacha.
Na sisi hatujivunii hatua tuliyoifikia kwenye kombe lile.
Utasemaje hamjivunii wakati mpaka leo bio yenu ya IG inataja hayo mafanikioKombe la kina mama aliitwi kimataifa.
Kule Kombe la Kina Mama tulibutua timu zote, hakuna timu tuli iacha.
Na sisi hatujivunii hatua tuliyoifikia kwenye kombe lile.
UlisemaKitu ninachokiona hapa ni wachezaji wa simba wakikalia kiti cha ufungaji...
Mechi za Yanga ndio huwa anafanya hivyo.Tutaona na Leo kama Kocha wa Dodoma jiji atafurahia kichapo😁😁
tunzeni tiketi derby ipo palepale hakuna kupewa point 3 za mezani bure lazma uzitolee jashoMm yanga damu ila kwa style hii ya simba bora mechi ilighairishwa
Ndio uwezo yaani ndio quality iliyopo, Bado mnajenga timu.
Ata nafasi mliyopo nikazi kubwa ya marefa na bodi ya ligi.
mpanzu ni wamotooo chura shukuruni tff,ila tunzeni tiketi zenu
Goli l 3 kafunga nani?Duchu leo amecheza kikubwa sana