Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Kombe la kina mama aliitwi kimataifa.
Kule Kombe la Kina Mama tulibutua timu zote, hakuna timu tuli iacha.
Na sisi hatujivunii hatua tuliyoifikia kwenye kombe lile.
Hauoni hata aibu kusema mlizibutua timu zote yani wale kina Rivers na Marumo waliokuwa wanashuka Daraja ndio mnajisifia, na hapo mna kikosi mnachoita bora mna striker kama Mayele ila bado mkashindwa kubeba lile kombe, mngekutana na wenye kombe lao kina Zamalek na Berkane hata nusu fainali msingegusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…