CookieMtanange mkali Leo.
Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC
Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida
Vs
Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam
Uwanja: CCM Liti Singida.
Muda : Saa 10Jioni.
View attachment 3186944
Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu.
VIKOSI VYA LEO.
View attachment 3187030
View attachment 3187032
Tulia mkuu, mtazame mnyama mawindoniMtafungwa Inshallah!!!
Hao uliowataja hawapo online jaribu wengine walio zamu mda huu
KUmbe we mama ni Lunyasi huku Jf na tukiwa ndani tunazozana kama wataniweee mbaba mbona unanifuatilia Sana🤣🤣🤣
Game haina umuhimu hiiMods wanatuhujumu
Mpira si umeanza?Mods wanatuhujumu
Utashangaa mechi inayochezwa leo ni kati ya Simba na Singida Big Stars lakini utawaona mashabiki wa Yanga wanakuja hapa kutunisha vichwa na makalio na kuleta ubishi usiokuwa na kichwa wala miguu. Haya majitu ya Yanga hayako vizuri vichwani mwao!Mtanange mkali Leo.
Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC
Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida
Vs
Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam
Uwanja: CCM Liti Singida.
Muda : Saa 10Jioni.
View attachment 3186944
Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu.
VIKOSI VYA LEO.
View attachment 3187030
View attachment 3187032
Updates...
00' Mpira umeanza sasa Simba wameelekeza mpira kwa Singida, wanacheza faulo, inapigwa inaokoloewa
Kwamba haya matokeo hayana athari kwenye msimamo?Game haina umuhimu hii
Haina umuhimu kwa modsKwamba haya matokeo hayana athari kwenye msimamo?
Haina umuhimu kwa modsKwamba haya matokeo hayana athari kwenye msimamo?