Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Utajuaje wakati wewe ni miongoni mwa mbumbumbu mliokuwa mnaiback up tabora? Yaani mlitegemea tabora ndio awasaidie kuizuia yanga ni maajabu ya Dunia!Ila kwa kweli mashabiki wa Yanga asilimia kubwa ni mataahira,sa tokea lini aliyefungwa alikuwa ni mshirika wa Simba ?
Asante Mungu kwa kuniumba mimi kuwa sii mshabiki wa chikundi fc,π€£π€£π€£π€£
Kwenye orodha hii hawakosi wale mabouncer.. angalau watatuIlibidi iwe 4 - 0 na goli la Mzize liwe best goal + hattrick, Refa kanyimwa unymba jana π kaja kutolea hasira kwenye pitch
Text
brAin cRacker
Village-in
Yoav Gallant
kelphin
EricMan
Shadeeya
Mbagalila
Yoav Gallant
kelphin
Zee la Mandandu
KENZY
EricMan
Shadeeya
zipompa
Saharavoice
kelphin
Mr Q
vibertz
Shadeeya
Ndio akili yako ilivyokutuma hivyo?Utajuaje wakati wewe ni miongoni mwa mbumbumbu mliokuwa mnaiback up tabora? Yaani mlitegemea tabora ndio awasaidie kuizuia yanga ni maajabu ya Dunia!
Mabingwa wa kitu gani?Mabingwa wapo away wanakipiga huko CAFCL robo fainali, utopwinyo ni bingwa wa kunywa supu no more.
Maumivu ni makali sana kijana wa Rage,,wewe subilia icho kikombe cha kahawa mlichopo na chenyewe ni kichapo tu sijui kama mtalala Leo!Ndio akili yako ilivyokutuma hivyo?
Tuache kufikiria mechi ya maana na wanaojua wenzetu Al Masry tufuatilie timu iliyopanda daraja mwaka huu,una akili kweli wewe?,π€£π€£
Bahasha fcHuna haya?
Kama ilivyosoma kwenye account ya kipa wa Simba kwenye vichapo vyote 4 mtawalia!Kipa wa Tabora account inesoma..la sivyo mkekunywa nyingi
Nilidhani ni Mimi Tu ndio nawaonaga hivyoIla kwa kweli mashabiki wa Yanga asilimia kubwa ni mataahira,sa tokea lini aliyefungwa alikuwa ni mshirika wa Simba ?
Asante Mungu kwa kuniumba mimi kuwa sii mshabiki wa chikundi fc,π€£π€£π€£π€£
Watu mmewafunga na miamala imesoma,π€£π€£π€£Maumivu ni makali sana kijana wa Rage,,wewe subilia icho kikombe cha kahawa mlichopo na chenyewe ni kichapo tu sijui kama mtalala Leo!
Yanga kacheza fainali babu,wewe utaishia wapi?Mabingwa wapo away wanakipiga huko CAFCL robo fainali, utopwinyo ni bingwa wa kunywa supu no more.
Rage apewe heshima yake,,tokea lini mbumbumbu akajielewaNilidhani ni Mimi Tu ndio nawaonaga hivyo
Mnakufa 2 bilaAfadhali mapichapicha yameisha. Tujiandae sasa kuangalia mpira.
Kwa spirit hii ya upambanaji wa Yanga, ni bora Simba wamekimbia. Angechapwa nae 3 au 4.Mijamaa inajua sana kuota. Wakaona isiwe tabu. π€£