Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

Hii mechi haikutakiwa kuchezwa leo. Macho na masikio ya taifa zima yalitakiwa kuwa Misri.
😂😂😂😂😃Nani anataka kufuatilia kombe la mbuzi??.
 
Hii Yanga ikicheza na Man U kwa Mkapa, Yanga anashinda.
 
Tabora kama wamecontrol mapato vizuri hela waliyopata hapa wanalipa wachezaji msimu mzima
Mkuu wa mkoa na kamati yake wamejua ku hype hii mechi safi sana
 
Mlungula umeshatembea, hakuna mechi hapo. Forward line na kiungo yote hiyo ya Tabora imepokea zile SMS ndiyo maana wanakimbia kimbia tu.
Sidhani kama kuna mlungula. Leo wamekutana na Utopolo bora kuliko ile walioifunga round ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…